Utalii nchini Shelisheli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pwani ya "Anse Cocos", La Digue.

Utalii ndio sekta muhimu zaidi isiyo ya kiserikali katika uchumi wa Shelisheli. Takriban asilimia 15 ya wafanyakazi rasmi wameajiriwa moja kwa moja katika utalii, na ajira katika ujenzi, benki, uchukuzi na shughuli nyinginezo inafungamana kwa karibu na sekta ya utalii. watalii wanafurahia fukwe za matumbawe za Seychelles na fursa za michezo ya majini. Wanyamapori katika visiwa pia ni kivutio kikubwa.[1]

  1. https://www.nationsencyclopedia.com/Africa/Seychelles-TOURISM-TRAVEL-AND-RECREATION.html