Utalii nchini Liberia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mcheza ngoma wa Liberia

Utalii unaunda sehemu ndogo ya uchumi wa taifa nchini Liberia. Hapo nyuma, watalii wengi walitembelea Liberia kutokea Marekani. Uchumi wa Liberia, ikiwemo sekta ya utalii iliathiriwa vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, na imeanza kupanda baada ya wizara ya utalii kuanzisha. Mahitaji yote yanapatikana kwa watalii, pamoja na miundombinu ya usafiri n hini Liberia.[1] Uzuri mojawapo ni kutumia mawimbi eneo la Robertsport.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://books.google.co.tz/books?id=MyGjpyNAur0C&redir_esc=y
  2. https://web.archive.org/web/20090123123357/http://www.time.com/time/travel/article/0,31542,1871631,00.html