Uduvi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ushimbu)
Rukia: urambazaji, tafuta
Uduvi
Duvi wa Costa Brava, Hispania (Palaemon elegans)
Duvi wa Costa Brava, Hispania (Palaemon elegans)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Crustacea (Arthropoda wenye miguu yenye matawi mawili)
Ngeli: Malacostraca (Crustacea wenye sehemu tatu)
Oda: Decapoda (Crustacea wenye miguu mikumi)
Ngazi za chini

Nusuoda 2 na oda za chini 1:

Uduvi (pia duvi, kijino au ushimbu) ni wanyama wadogo wa bahari wa oda Decapoda katika nusufaila Crustacea (gegereka). Hawa ni aina za kamba wadogo. Majina "uduvi" na "ushimbu" hutumika kwa kundi la wanyama hawa au kwa fungu sokoni. Wanyama pekee huitwa "duvi" au "kijino".

Wanatumika kama kitoweo cha chakula.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Uduvi" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.