Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Ramadhani Mushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramadhani A Mushi, kazaliwa mkoani Kilimanjaro tarehe 11 Mei mnamo mwaka 2001. Amejikita katika elimu ya IT (Information Technology).

Amekua mchangiaji mashuhuri Wikipedia kwalugha ya Kiswahili tangu mnamo mwaka 2023. Ikiwa ni sehemu ya jamii, anaamini katika nguvu ya elimu na ni mchangiaji katika kuleta mabadiliko chanya. Analenga kuendelea kujifunza na kukuza mazingira bora kwa wengine. Maisha yake yanaendelea, na matumaini yake ni kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii ya Tanzania.

Userbox
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.


sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.