Mtumiaji:Lau mnanka david
Mandhari
Kwa majina naitwa laurent mnanka david marsero. Nimezaliwa Kairuki hospital mikocheni munamo mwaka 2004. Na wazazi wangu wananilea vizuri. Pia natumaini watanikuza kimaadili. Ninaishi Tanzania na ninasoma shule iitwayo Alfagems. Manager wa shule hio anaitwa Ricardo Riccion Maria. Na ninataka nikimaliza elimu ya sekondari niende nikasomee udaktari nje ya nchi sanasana marekani. Nina ushauri kidogo kwa wenzangu(wanafunzi) kwamba mnatakiwa kusoma kwa bidii kwa maana elimu ndio ufunguo wa maisha. Utakapo chezea elimu itaukosti.