Mtumiaji:EdwardJacobo42
Mandhari
EdwardJacobo ni mchangiaji wa kujitolea katika miradi mbalimbali ya shirika la Wikimedia wa nchini Tanzania. Miradi hiyo ni pamoja na wikipedia ya kiswahili (nikiwa kama mhariri wa makala za kiswahili kutoka kikundi cha wahiriri wa makala za kiswahili Arusha, Wikimedia Community User Group Tanzania), Wikidata, Wikimedia Commons pamoja na mradi wa Meta-Wiki.
Nyota
[hariri | hariri chanzo]Ni nyota ambayo nimetuzwa kwa kuchagua picha asili za toleo la Wiki Loves Monuments 2024. Kutoka kwa timu ya Kimataifa, niliwasilisha picha zilizoshinda kwa shindano la Mahakama ya Kimataifa ya Haki.
Userbox | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|