Mtumiaji:Bella080803!
Frank Ocean
[hariri | hariri chanzo]Frank Ocean[1] alizaliwa jina la Christopher Edwin Breaux Oktoba 28, mwaka wa 1987. Yeye ni mwimbaji Mmarekani, mwandishi wa nyimbo, na mpigaji vibao anayejulikana kama muumba wa R&B mbadala.[2][3]Ameshinda Grammy mbili na Brit Award. Ocean alipata kutambulika kwa mixtape yake, “Nostalgia, Ultra,” mwaka wa 2011, kufuatwa na albamu ya studio “Channel Orange” mwaka wa 2012. Baada ya mapumziko, aliachia albamu ya kuona “Endless” na aliachia “Blonde” mwaka wa 2016. “Blonde” iliongoza chati za muziki na ilipata tuzo ya platinamu. Yeye pia ni mpiga picha, mbuni wa mavazi ya chapa yake Homer, na alianza Homer Radio. Nyimbo kumi na nne zake kuingia kwenye Billboard Hot 100 pia.
Katika Ujana[4]
[hariri | hariri chanzo]Jina la kuzaliwa ya Frank Ocean ni Christopher Edwin Breaux. Alizaliwa siku ya ishirini na nane, mwezi wa Oktoba 28, mwaka wa 1987.[5][6]Jina la baba yake ni Calvin Edward Cooksey[7] na yeye alikuwa mwimbaji[8] kama Ocean. Jina la mama yake ni Katonya Breaux Riley[9] na yeye alikuwa kontrakta.[8] Jina la kaka yake ni Ryan Breaux lakini yeye alikufa ajali ya barabarani mwaka wa 2020.[10] Akiwa umri wa miaka tano, Frank Ocean na familia yake walihamia katika mji wa New Orleans, jimbo la Louisiana.[11]Akiwa umri wa miaka sita, Ocean alimhifadhi kwa mama yake baada ya wazazi wake walitaliki.[8] Jina la babu yake ni Lionel McGruder Jr. na alichukua nafasi ya baba Frank Ocean baada ya baba yake kuiacha familia. Lionel aliponya kwa ulevi na alikuwa mshauri katika Alcoholics Anonymous na Narcotics Anonymous. Lionel alimpeleka Ocean katika mahali pa kukutania.[12] Hii kutia msukumo wimbo wa Frank Ocean inaitwa “Crack Rock” kutoka Channel Orange.[12] Lionel alikufa mwaka wa 2010 na wimbo wa Frank Ocean kuitwa “There Will Be Tears” wakfu kwake.
Kazi ya Muziki[4]
[hariri | hariri chanzo]Frank Ocean alianza kazi ya muziki mwaka wa 2006, yeye alihamia katika mji wa Los Angeles, jimbo la California na kufanya kazi nyingi. Alipata kutambulika kama mwandishi wa nyimbo anaitwa Lonny Breaux[13] kabla ya jina la jukwaa ni Frank Ocean. Mixtape yake “Nostalgia, Ultra” ilimpeleka kufanya kazi na Jay-Z na Kanye West.[14] Mwaka wa 2012, Ocean kutolewa albamu ya studio yake kuitwa “Channel Orange.” Watu wanapenda albamu yake kwa sababu ina hadithi na inazumgumza kuhusu matatizo ya kijamii, kumpatia pendekezo wa Grammy sita na mafanikio ya kibiashara. Albamu yake ya pili kutolewa mwaka wa 2016, ina namba moja katika nchi nyingi na alionekana kama msanii. Kisha, Ocean ameendelea kutolewa nyimbo na kufanya kazi na wasanii wengine.
Athari[4]
[hariri | hariri chanzo]Frank Ocean amesifiwa na wakosoaji wa muziki kwa sababu yeye alibuni kibao R&B wa kipekee, kupa R&B nafsi. Simulizi za kubunifu yake, kuchanganya mapenzi kwa madoido, na R&B ya alisukuma mpaka. Amewahi kutambuliwa Time's[15] na Forbes, kama mtu mwenye ushawishi sana na mfanikishaji mchanga zaidi. Anashughulikia mada kwa wote kama vijana, upendo, na hali ya kuweza kufa, kuruhusu muziki yake kuwavutia watu. Anasifiwa kwa nyimbo za maungamo na ahadi yake ya kuchunguza wa msanii. Frank Ocean alipata nafasi kama msanii bora wa wakati wetu na Rolling Stone alimweka kama mmoja wa waibaji bora zaidi mwaka wa 2023.[16]
Kitambulisho cha Kimapenzi[4]
[hariri | hariri chanzo]Ocean aliandika barau wazi mwaka wa 2012, na akafichua hisia zake za zamani kwa mwanaume mwingine.[17] Alipokea msaada kutoka kwa watu maarufu kama Beyoncé na Jay-Z na tasnia ya hip hop. Baada ya shambulio la klabuni ya usiku jiji la Orlando mwaka wa 2016, alionyesha huzuni yake kuhusu ubaguzi wa mashoga.
Mabishano[4]
[hariri | hariri chanzo]Ocean alitumia sehemu ya wimbo wa The Eagles "Hotel California" katika wimbo wake "American Wedding," lakini hakutoa, na hii ilisababisha mabishano. Alisema kwamba hakupata pesa kutoka kwa wimbo na kuutoa kama kitendo cha kuonyesha kusifia. Mwaka wa 2013, Chris Brown alimpiga kofi Ocean, lakini mashtaka hayakufunguliwa. Mwaka wa 2014, Ocean alitarajiwa kutumbuiza wimbo wa "Pure Imagination" katika matangazo ya Chipotle Mexican Grill. Frank Ocean hakushiriki katika matangazo ya Chipotle kwa sababu hakukuwa na ujumbe kuhusu kilimo chenye uwajibikaji. Aliilipa Chipotle cheki ya dola 212,500 kuchukua nafasi ya tumbuiza yake.
Marajeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Frank Ocean Legally Changed His Name To Frank Ocean". The FADER (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-14.
- ↑ Condé Nast (2017-04-24). "Why Frank Ocean is a musical icon". British GQ (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-04-14.
- ↑ Dhaenens, Frederik; De Ridder, Sander (May 2014). "Resistant masculinities in alternative R&B? Understanding Frank Ocean and The Weeknd's representations of gender". European Journal of Cultural Studies. 18 (3). Retrieved April 13, 2024 – via ResearchGate.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 "Frank Ocean", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-12, iliwekwa mnamo 2024-04-23
- ↑ "Frank Ocean Makes Moves Like Nobody Else". W Magazine (kwa Kiingereza). 2019-09-30. Iliwekwa mnamo 2024-04-14.
- ↑ "We are the official site of the GRAMMY Awards, Music's Biggest Night | GRAMMY.com". grammy.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-14.
- ↑ Precious Uko (2022-09-12). "All about Frank Ocean's marriage, wife, boyfriends, kids". DNB Stories Africa (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ 8.0 8.1 8.2 Condé Nast (2012-11-20). "Frank Ocean: GQ's Men of the Year 2012 Interview". GQ (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ Precious Uko (2022-09-12). "All about Frank Ocean's marriage, wife, boyfriends, kids". DNB Stories Africa (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ "Frank Ocean's Younger Brother Ryan Breaux Reportedly Killed In Crash Alongside Classmate Ezekial Bishop - CBS Los Angeles". www.cbsnews.com (kwa American English). 2020-08-02. Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ Frank Ocean: BBC News interview - BBC Sound of 2012, iliwekwa mnamo 2024-04-15
- ↑ 12.0 12.1 Nicholson, Rebecca (2012-07-20), "Frank Ocean: the most talked-about man in music", The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-15
- ↑ "An oral history of Frank Ocean's former songwriting alias, Lonny…". The Face (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2020-03-04. Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ "Frank Ocean records another first as Channel Orange is named album of". The Independent (kwa Kiingereza). 2012-12-17. Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ Legend, John (2013-04-18), "Frank Ocean: The World's 100 Most Influential People", Time (kwa American English), ISSN 0040-781X, iliwekwa mnamo 2024-04-15
- ↑ Rolling Stone (2023-01-01). "The 200 Greatest Singers of All Time". Rolling Stone (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-15.
- ↑ "Frank Ocean Interview: Happy To Wake Up Without 'This Freakin' Boulder On My Chest'". web.archive.org. 2012-08-20. Iliwekwa mnamo 2024-04-15.