Nenda kwa yaliyomo

Ursula Kuczynski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ursula Kuczynski (pia anajulikana kama Ruth Werner, Ursula Beurton na Ursula Hamburger; 15 Mei 19077 Julai 2000)[1] alikuwa mwanaharakati wa Kikomunisti kutoka Ujerumani aliyepeleleza kwa ajili ya Umoja wa Kisovyeti katika miaka ya 1930 na 1940, maarufu kama msimamizi wa mwanasayansi wa nyuklia Klaus Fuchs.[2] Alihamia Ujerumani ya Mashariki mwaka 1950 wakati Fuchs alipogunduliwa, na kuchapisha mfululizo wa vitabu vinavyohusiana na shughuli zake za upelelezi, ikijumuisha autobiography yake maarufu, Sonjas Rapport.

  1. "Gestorben Ruth Werner". Der Spiegel (online). 10 Julai 2000. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Barth, Bernd-Rainer; Hartewig, Karin. "Werner, Ruth (eigtl.: Ursula Maria Beurton) geb. Kuczynski * 15.05.1907, † 07.07.2000 Schriftstellerin, Agentin des sowjetischen Nachrichtendienstes GRU". Bundesstiftung zur Aufarbeitung der SED-Diktatur: Biographische Datenbanken. Iliwekwa mnamo 1 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ursula Kuczynski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.