Unga Ltd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Unga Ltd ni kata ya Jiji la Arusha katika Mkoa wa Arusha, Tanzania, yenye postikodi namba 23107.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 14,006 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,342 [2] walioishi humo.

Jina la kata latokana na kiwanda cha kampuni ya Unga Ltd kilicho karibu. Unga Ltd ni mtaa wa vibanda na kati ya maeneo maskini zaidi ya Arusha[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Arusha - Arusha CC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-20. 
  3. " Unga Ltd ward is an urban unplanned neigh - bourhood in Arusha city that is infamous for extreme poverty and lack of adequate social services. " Kate McAlpine na wengine: The experience of being a child in 2015 in Unga Limited ward, Arusha, Tanzania, iliangaliwa Mei 2016 kwenye tovuti ya academia.edu

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Arusha mjini - Tanzania

Baraa | Daraja II | Elerai | Engutoto | Kaloleni | Kati | Kimandolu | Lemara | Levolosi | Moivaro | Moshono | Muriet | Ngarenaro | Olasiti | Olmoti | Oloirien | Osunyai Jr | Sakina | Sekei | Sinoni | Sokon I | Sombetini | Terrat | Themi | Unga Ltd


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Unga Ltd kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.