Nenda kwa yaliyomo

Ulaghai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ulaghai ni kosa ambalo mtu humjaribu mtu mwingine ili kupata faida isiyofaa au kinyume cha sheria. Ulaghai mara nyingi ni kuhusu fedha na mapenzi.

Mlaghai au mwongo ni mtu anayetenda udanganyifu. Ulaghai ni nomino dhahania.

Ulaghai unaweza kuwa kosa la jinai: kwa hilo mtu anaweza kushitakiwa na kufungwa. Pia ni kosa la kiraia: mwathirika wa ulaghai anaweza kumshtaki mlaghai ili kupata fidia.

Mataifa yote yana sheria dhidi ya ulaghai, lakini maelezo yanatofautiana. Huko Uingereza Sheria ya Bunge inafafanua aina tatu za ulaghai:

  • ulaghai na uwakilishi wa uwongo,
  • ulaghai kwa kushindwa kufichua habari,
  • ulaghai kwa matumizi mabaya ya nafasi.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulaghai kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ulaghai katika mapenzi unafaida na hasara kidogo