Uhuru wa kupata taarifa ya habari
Mandhari
Uhuru wa kupata habari (2003/4/EC) ni agizo la Umoja wa Ulaya lenye kichwa rasmi "Maelekezo 2003/4/EC ya Bunge la Ulaya na Baraza la 28 Januari 2003 kuhusu ufikiaji wa umma kwa taarifa za mazingira na kufuta magizo ya baraza 90/313/EEC".[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sands, Philippe; Galizzi, Paolo (whr.), "Directive 2003/4/EC of the European Parliament and of the Council of 28 January 2003 on public access to environmental information and repealing Council Directive 90/313/EEC (OJ L 41 14.02.2003 p. 26)", Documents in European Community Environmental Law, Cambridge University Press, ku. 344–356, iliwekwa mnamo 2022-05-07