Uhalifu wa kimtandao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhalifu wa kimtandao, au uhalifu wa kompyuta, ni jinai inayojumuisha kompyuta na mtandao.[1][2] Kompyuta inaweza kutumika katika kutekeleza uhalifu, au inaweza kuwa lengo.[3] Uhalifu wa mtandaoni unaweza kudhuru usalama wa mtu na fedha.[4]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Cybercrime", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-15, iliwekwa mnamo 2021-06-22 
  2. "Cybercrime", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-15, iliwekwa mnamo 2021-06-22 
  3. "Cybercrime", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-15, iliwekwa mnamo 2021-06-22 
  4. "Cybercrime", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-06-15, iliwekwa mnamo 2021-06-22 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Moore, R. (2005) "Cyber crime: Investigating High-Technology Computer Crime," Cleveland, Mississippi: Anderson Publishing.
  2. "cybercrime | Definition, Statistics, & Examples". Encyclopedia Britannica. Retrieved 25 May2021.
  3. Warren G. Kruse, Jay G. Heiser (2002). Computer forensics: incident response essentials. Addison-Wesley. p. 392. ISBN 978-0-201-70719-9.
  4. Bossler, Adam M.; Berenblum, Tamar (20 October 2019). "Introduction: new directions in cybercrime research". Journal of Crime and Justice. 42 (5): 495–499.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhalifu wa kimtandao kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.