Ugonjwa wa mawasiliano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ugonjwa wa mawasiliano (kwa Kiingereza "Communication disorder") ni ugonjwa unaoathiri uwezo wa mtu wa kuelewa, kuchunguza, au kutumia lugha na kushindwa kutoa hoja ili kushiriki kwa ufanisi katika mazungumzo na wengine.

Husababishwa na hitilafu fulanifulani kwenye ubongo. Ugonjwa huu unamfanya mtu ashindwe kuongea mbele ya umati wa watu.

Rod of Asclepius2.svg Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa wa mawasiliano kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.