Ufunguo programu

Ufunguo programu wa Windows Vista Home Premium.
Katika utarakilishi, ufunguo programu (kwa Kiingereza: product key au software key) ni neno la siri linalotumika ili kuamilisha programu moja.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).