Uchunguzi wa kidijiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchunguzi wa kidijiti (wakati mwingine hujulikana kama sayansi ya uchunguzi wa kidijiti) ni tawi la sayansi ya mahakama inayojumuisha urejeshaji, uchunguzi, na uchanganuzi wa nyenzo zinazopatikana katika vifaa vya dijiti, hasa vifaa vya rununu na uhalifu wa kompyuta.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchunguzi wa kidijiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.