Nenda kwa yaliyomo

Uche Akubuike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uche Akubuike (alizaliwa 17 Machi 1980 huko Akwa Ibom) ni kipa wa kandanda wa Nigeria. Anacheza soka katika klabu ya Enyimba.

Ushiriki Katika Uchezaji

[hariri | hariri chanzo]

Alianza kazi yake mnamo 1997 na NITEL Vasco Da Gama F.C. baadaye mwaka 1998 akahamia Jasper United. Baada ya mwaka 1 akiwa na Jasper United, aliihama klabu hiyo na kuhamia USM Blida ya Algeria. [1][2]

Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Uche Aliitwa na kocha Bora Milutinović kwa timu ya taifa ya kandanda ya Nigeria [3] .[4] kama golikipa msaidizi katika Kombe la Dunia la FIFA la 1998.

  1. Photo from 2011 at Gombe Utd.
  2. "Akubuike joins Enyimba (MTNfootball)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-21. Iliwekwa mnamo 2023-06-14.
  3. Wikki will be ready - Bosso Ilihifadhiwa 14 Mei 2018 kwenye Wayback Machine. at KickOff, 5-3-2008, retrieved 1-7-2016
  4. Uche Akubuike at zerozero.pt
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uche Akubuike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.