Nenda kwa yaliyomo

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1944

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1944 ulikuwa wa 40 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 7 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake Harry S. Truman) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Thomas E. Dewey (pamoja na kaimu wake John Bricker).

Roosevelt akapata kura 432 na Dewey 99. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1944 Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.