Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1832

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1832 ulikuwa wa 12 katika historia ya Marekani. Ukafanywa tarehe 2 Novemba hadi 5 Desemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Andrew Jackson (pamoja na kaimu wake Martin Van Buren) aliwashinda wagombea Henry Clay (pamoja na kaimu wake John Sergeant), John Floyd (pamoja na kaimu wake Henry Lee) na William Wirt (pamoja na kaimu wake Amos Ellmaker).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Jackson akapata kura 219, Clay 49, Floyd 11 na Wirt 7. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.