Nenda kwa yaliyomo

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1828

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1828 ulikuwa wa 11 katika historia ya Marekani. Ukafanywa tarehe 31 Oktoba hadi 2 Desemba. Upande wa "Democratic Party", Andrew Jackson (pamoja na kaimu wake John C. Calhoun) alimshinda Rais John Quincy Adams (pamoja na kaimu wake Richard Rush).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Jackson akapata kura 178 na Adams 83. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.