Nenda kwa yaliyomo

Ty Simpkins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ty Keegan Simpkins (amezaliwa 6 Agosti, 2001) ni mwigizaji filamu mtoto kutoka nchini Marekani. Moja kati ya igizo lake kubwa ni pamoja na Iron Man 3 (2013), akiwa na Robert Downey, Jr., filamu ya kutisha ya James Wan Insidious na toleo lake la pili Insidious: Chapter 2, na Jurassic World (2015). Amepata kuonekana pamoja na ndugu yake wa damu, Ryan Simpkins, katika filamu kama Pride and Glory Revolutionary Road na Arcadia (filamu)

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
2005 War of the Worlds 3 Year Old Boy
2006 Little Children Aaron Adamson
2008 Gardens of the Night Dylan Whitehead
2008 Pride and Glory Matthew Egan
2008 Revolutionary Road Michael Wheeler
2009 Family of Four Tommy Baker
2009 Abracadabra Tucker Fupi
2010 Insidious Dalton Lambert
2010 The Next Three Days Luke
2012 Arcadia Nat
2012 Extracted Young Anthony
2013 Iron Man 3 Harley Keener Kachaguliwa – Saturn Award for Best Performance by a Younger Actor
2013 Insidious: Chapter 2 Dalton Lambert
2015 Hangman Max
2015 Meadowland Adam
2015 Jurassic World Gray Mitchell Katika sinema
2016 The Nice Guys Bobby Inafilamiwa

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
2001–02 One Life to Live Jonathan "Jack" Manning / Annoying Baby Visa 4 
2001–05 The Guiding Light Jude Cooper Bauer Visa 47
2005 Law & Order: Criminal Intent Jake Nikos Kisa: "Ex Stasis"
2008 CSI: Crime Scene Investigation Tyler Waldrip Kisa: "A Thousand Days on Earth"
2008 Private Practice Braden Tisch Kisa: "Past Tense"

Michezo ya Video

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
2015 Lego Jurassic World Gray Mitchell

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]