Tuzo za muziki za MTN Liberia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za muziki za MTN Liberia Kwa ujumla hufaamkika kama tuzo za muziki Liberia, ni tuzo zilizo anzishwa mwaka 2010 kwa lengo la kusherekea vipaji vinavyo patikana ndani ya nchi ya Liberia.[1] Tuzo hizi hutolewa Kila mwaka nchini Liberia

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://kuulpeeps.com/2019/11/20/take-a-look-at-the-full-list-of-winners-from-the-mtn-liberia-music-awards/campus/liberia