Tuxtla Gutiérrez, Chiapas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Tuxtla Gutiérrez, Chiapas



Jiji la Tuxtla Gutiérrez
Nchi Mexiko
Jimbo Chiapas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 503,320
Tovuti:  www.tuxtla.gob.mx

Tuxtla Gutiérrez ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Chiapas. Kuna wakazi 503,320 (2005), na pamoja na rundika la mji ni 1,097,524. Eneo lake ni 412,40 km². Mji upo m 600 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa mwaka 1560.



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tuxtla Gutiérrez, Chiapas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.