Tunu Pinda
Mandhari
Tunu Pinda ni mwanaharakati wa Tanzania ambaye amehusika katika kukuza usawa wa kijinsia katika sekta mbalimbali za maendeleo, hasa ya uchumi wa kilimo, nchini Tanzania[1]
Uanaharakati
[hariri | hariri chanzo]Tunu Pinda amesisitiza umuhimu wa kanuni za kuwalinda walaji na kuboresha uwezo wa Tanzania kusafirisha bidhaa kwenye masoko ya kimataifa.[2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tunu Pinda Foundation – Non-Governmental Organization to Train and Equip" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-08-18."Mama Tunu Pinda awataka wanawake Songwe kupinga ukatili". Mwananchi (kwa Kiingereza). 2023-03-09. Iliwekwa mnamo 2023-08-18.
- ↑ "Improve product packaging to attract buyers, producers told". The Citizen (kwa Kiingereza). 2021-04-03. Iliwekwa mnamo 2023-08-18.