Topazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Topazi.

Topazi ni madini ambayo kikemia fomula yake ni Al2SiO4(F,OH)2.

Ni kati ya madini magumu zaidi (8/10). Kutokana na ugumu na uangavu wake, pamoja na rangi zake mbalimbali, imetumika sana kama kito.

Inatajwa na Biblia pia.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Topazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.