Nenda kwa yaliyomo

Tonye Garrick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tonye Garrick

Tonye Garrick (anajulikana pia kama Tonye; alizaliwa 27 Agosti 1983) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Nigeria mzaliwa wa Uingereza.[1]

Maisha ya Awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Akiwa mzaliwa wa Uingereza, Tonye alitoka katika familia yenye baba kutoka Jimbo la Edo aliyekuwa mwanadiplomasia na mama kutoka Jimbo la Anambra. Alitumia sehemu kubwa ya maisha yake ya utotoni nchini Nigeria, mjini Paris na nchini Marekani.[2] Alisoma katika shule ya Vivian Fowler Memorial College]] na Queen's College, Lagos ambako alimaliza elimu yake ya sekondari.[3] Baadaye alipata shahada ya kwanza katika masuala ya Biashara ya Kimataifa na Usimamizi wa Mitindo baada ya kuhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Marymount.[4]


  1. "Tonye Garrick: the singer getting Nigeria dancing". True Africa. 8 Oktoba 2015. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Okon-Ekong, Nseobong (30 Agosti 2015). "A CHILDHOOD DREAM COMES TRUE". Thisday Live. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Deeva of the Week – TONYE GARRICK". Naija D.E.E.V.A.S. 19 Desemba 2012. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "I understand my body – Tonye Garrick". The Punch. 14 Aprili 2013. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tonye Garrick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.