Tony Jaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jaa Phanom ajulikanae kwa jina la Tony Jaa ambaye ana uraia wa Thailand alizaliwa tarehe 5 february 1976 huko Surin Thailand Pia ni mcheza martial art wa kithailand na muigizaji Tony Jaa amezaliwa na kukulia kijijini surin Tony Jaa ana uwezo wa kuongea lugha tofauti kama vile Thai, Northern khmer, na Kuy kwenye ujana wake alikua anaangalia picha za Bruce Lee ,Jackie Chan,na Jet Li hiyo ndiyo ilikua kivutio chake cha kujifunza martial art pia Tony Jaa ameigiza movie mbalimbali kama vile "Ong bak","Monster hunter","the bodyguard" katika movie zilizo pokea tuzo ni pamoja na movie yake ya ong bak.