Tony D'Souza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tony D'Souza.

Tony D'Souza ni mwandishi wa riwaya, mwandishi wa habari, mwandishi wa insha, mkaguzi, msafiri na pia mwandishi wa hadithi fupi wa Marekani.

Ameweza kuchapisha riwaya takribani tatu na mchapishaji Houghton Mifflin Harcourt ikijumuisha Whitemen ya mwaka 2006, The konkans ya mwaka (2008) na Mule ya mnamo mwaka (2011)[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Carthage alumnus celebrates release of third novel". www.carthage.edu. Retrieved 2019-09-03. iliingizwa 09-08-2022
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony D'Souza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.