Todd Kerns
Mandhari
Todd "Dammit" Kerns ni mwanamuziki wa rock kutoka kanada ambaye amefanya kazi na bendi mbalimbali, lakini anajulikana zaidi kwa kushirikiana na The Age of Electric. Kwa sasa yeye ni mpiga gitaa la bass na mwimbaji wa kumuunga mkono kwa Slash ya mziki.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Slash and Myles Kennedy Talk New Album". Gibson. Iliwekwa mnamo Juni 7, 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "SLASH's 'Work Ethic Is Non-Stop,' Says CONSPIRATORS Bassist TODD KERNS", BLABBERMOUTH.NET, September 13, 2016.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Todd Kerns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |