Tobna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Algeria.

Tobna (pia hujulikana kwa majina ya zamani ya Tubunae au Thubunae) ni jiji la zamani lililoharibiwa katika mkoa wa Batna wa Algeria, ulioko kusini mwa mji wa kisasa wa Barika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Côte, M. (1998). "Tubna". The Encyclopaedia of Islam, Volume 10, Issues 163-178. Brill. uk. 580. Iliwekwa mnamo 5 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tobna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.