Nenda kwa yaliyomo

Tite Kubo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tite kubo)
Tite Kubo
Jina la kuzaliwa Noriaki Kubo
Alizaliwa Juni 26 1977 (1977-06-26) (umri 47)
Nchi Japanese people
Kazi yake Mangaka

Noriaki Kubo 久保 宣章 Kubo Noriaki (alzaiwa 26 Juni 1977), anajlikana kwa jina nihongo Tite Kubo 久保 帯人 Kubo Tite ni mchoraji wa manga ya Kijapani. Kazi yake muhimu zaidi ni manga ya Bleach.

Mtoto wa mwanachama wa baraza la jiji katika Wilaya ya Fuchu, Aki , Hiroshima, kubo alimaliza shule ya sekondari katika shule ya mitaa. Katika mahojiano, kubo alisema kwamba yeye aliingia mashindano ya gazeti la manga, na kwamba ingawa hakushinda, mmoja wa wahariri wa gazeti aliona talanta yake. Hatimaye walifanya kazi pamoja katika miradi ya pamoja.[1] Si muda mrefu baadaye, manga yake ya kwanza fupi, "Ultra Unholy Hearted Machine", ilichapishwa katika Weekly Shōnen Jump Special ya Shueisha mwaka wa 1996. Hii ilikuwa ikifuatiwa na manga mbili zaidi fupi fupi, na mwaka wa 1999 manga yake ya kwanza mfululizo, Zombiepowder., Ilianza katika Weekly Shōnen Jump ikaendelea kwa volume ya nne hadi 2000, wakati ilifutiliwa mbali. Kulingana na ufafanuzi wa mwandishi katika kurasa ya kwanza ya tankōbon ya tatu, kubo alikuwa katika hali ngumu kiakili wakati alipoiandika.[2]

Mfululizo wake iliyofuata, Bleach, kuhusu mwanafunzi wa chuo kikuu ambaye anakuwa shinigami na hupigana vita na pepo mbaya, ilianza kuchapishwa katika gazeti moja mwaka 2001. Kubo awali alitarajia mfululizo 'kuendelea si zaidi ya miaka mitano. [onesha uthibitisho] Mwezi wa Julai 2009, Bleach umefikia zaidi ya sura 300, na anime yake ilianza Ujapani mwaka wa 2004. Manga ilishinda tuzo la Shogakukan Manga Award kwa kikundi yake mwaka wa 2005.[3] Kubo na Makoto Matsubara wameandika kwa pamoja vitabu mbili vya mfululizo wa Bleach, ambayo ilichapishwa na Shueisha chini ya Jump Books studio.[4][5] Bleach: Memories of Nobody|Filamuya Bleach ilitolewa huko Ujapani 16 Desemba 2006, ikifuatiwa na Bleach: The DiamondDust Rebellion|filamu ya Bleach: The DiamondDust Rebellion|pili tarehe 22 Desemba 2007. Kubo pia alionekana katika kurasa 112 wa redio ya Kijapani Bleach B-Station. Katika kitimbi hio, kubo alihojiwa na Masakazu Morita, muigizaji wa sauti Ichigo Kurosaki, mhusika wa Bleach, na akajibu maswali kadhaa kutoka kwa mashabiki.[6] 26 Julai 2008, kubo akaenda Marekani kwa mara ya kwanza na akafanya kuonekana wakati wa San Diego Comic-Con International.[7]

Vishawishi

[hariri | hariri chanzo]

Bleach ilitengenezwa mara ya kwanza kutokana kwa hamu ya kubo kuchora shinigami akiwa amevaa kimono, hii ikawa msingi kwa mpangilio wa Soul Reapers katika mfululizo, na wazo la tabia ya Rukia Kuchiki.[8] Kubo alitaja mvuto vya vipengele vya Bleach kuanzia manga mengine hadi muziki, lugha ya kigeni, usanifu, na filamu. Yeye hutoa hamu yake ya kuchoro maajabu na majitu kwa GeGeGe hakuna Kitaro ya Shigeru Mizuki na kuzingatia kwa silaha ya kuvutia na sehemu za vita ya Bleach ' kwa Saint Seiya, ya Masami Kurumada' manga yote hayo kubo aiyapenda kama mvulana.[8] Mitindo ya kivita na kusimulia hadithi inayopatikana katika Bleach imesababishwa na sinema, ingawa kubo hajafafanua ikiwa kuna filamu yoyote maalumu iliyo na ushawishi kwa sehemu za vita. Wakati alisumbuliwa, aliiambia wanahabari kwamba alipenda Snatch lakini hakuitumia kama kielelezo.[9] Kubo pia alisema kwamba yeye anataka kufanya Bleach uzoefu ambayo inaweza tu kupatikana kwa kusoma manga, na kupuzilia mbali mawazo ya kujenga filamu ya live-action ya mfululizo.[10]

Katika utengenezaji wa eneo za vita, kubo hutoa kielelezo kutoka kwa muziki wa Rock. Yeye husema yeye hufikiria juu ya vita na muziki hiyo na kisha yeye hujaribu kupata eneo nzuri ya kuitengeneza.[11] Basi, yeye hujaribu kufanya majeraha kuwa halisi iwezekanavyo ili kufanya wasomaji kuisikia maumivu ya mhusika.[12] Kubo inataja wakati mwingine huchoka wakati wa kuchora, hivyo hujaribu kuongeza utani kadhaa kufanya ichekeshe zaidi.[11] Wakati wa kujenga wahusika, kubo kwanza hujaribu kujenga kielekezo na baadaye kuamua jinsi itakuwa utu wake kulingana na alichochora. Tangu kujenga wahusika hivi, kubo huchukulia kila mhusika kuwa wa kipekee na anataka kila mmoja wao kuendelezwa pamoja na mfululizo.[13] Alipoulizwa kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya wahusika, kubo hujibu akisema kuwa yeye hataki kugeuza mfululizo kuwa hadithi ya upendo kwani anadhani kuna vipengele vya kusisimua zaidi kuhusu haiba zao.[14] Wahusika wengine katika mfululizo pia hutumia lugha mbalimbali kuelezea maneno yao. Nguvu kutoka wahusika wa Quincy na Bount huchukuliwa kutoka Kijerumani, ilhali viumbe Hollow na Arrancar badala hutumia maneno ya Kihispania. Kubo alivutiwa na Kihispania kwa sababu, kwake, lugha hio aliiskia kama ikiwa "y a kuroga" na "iliyotulia". Majina ya arrancar pia yametokana na Wahispania maarufu kama vile wachoraji na wasanii .[15]

Kazi zake.

[hariri | hariri chanzo]

Mara moja

[hariri | hariri chanzo]
  • "Fire in the Sky" (1995, Shueisha's Hop Step award finalist.)
  • "Ultra Unholy Hearted Machine " (1996, Shōnen Jump Weekly Special. Inaonekana katika volume 2 ya Zombiepowder..)
  • "Rune Master Urara" (刻魔師 麗 Kokumashi Urara?) (1996, Shōnen Jump Weekly. Inaonekana katika volume 3 ya Zombiepowder..)
  • "Bad Shield United" (1997, Shōnen Jump Weekly. Inaonekana katika volume 4 ya Zombiepowder.. Pia hufanya tokeo katika Bleach kama filamu ya uwongo Bad Shield United 2.)

Majarida

[hariri | hariri chanzo]

Awali ikionekana katika Weekly Shōnen Jump na iliyochapishwa na Shueisha huko Tokyo, Ujapani, manga zote zimepewa leseni huko Amerika Kaskazini na dvs Media.

  • Zombiepowder. (1999-2000, Shōnen Jump Weekly, Shueisha. Zilizokusanywa katika kitabu cha nne mwaka 2000 na ikakokomeshwa.)
  • Bleach (2001 -, Weekly Shōnen Jump, Shueisha. Zilizokusanywa katika 40 + volumes.)

Artbooks

[hariri | hariri chanzo]
  • Bleach All Colour But The Black [16]
  • Bleach Official Bootleg [17]
  • Bleach Official character book souls [18]
  • Bleach Official Hollywood Guide Book VIBEs [19]
  1. Rukia Shonen, dvs Media|Rukia Shonen, dvs Media (volume 4, suala 3)
  2. Kubo, Tite (2000). Zombiepowder. vol. 03. Shueisha. Author's commentary. ISBN 4-08-872877-7. {{cite book}}: Unknown parameter |nopp= ignored (|no-pp= suggested) (help)
  3. "小学館漫画賞:歴代受賞者" (kwa Japanese). Shogakukan. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2007-08-19.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. "Bleach novel series" (kwa Japanese). Shueisha. Iliwekwa mnamo 2008-04-15.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. "Bleach novel series" (kwa Japanese). Shueisha. Iliwekwa mnamo 2008-04-15.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  6. Tite Kubo, Masakazu Morita. (Agosti 2007). Tite Kubo Interview, Bleach B-Station 112. Japan: Bleach B-Station.
  7. "Comic-con 2008 Guests" (kwa English). Comic-Con_International. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-24. Iliwekwa mnamo 2009-12-12.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  8. 8.0 8.1 Deb Aoki. "Interview: Tite Kubo (page 1)". About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-12. Iliwekwa mnamo 2008-09-16.
  9. Shonen Rukia|Shonen Rukia # 51. Volume 5, suala 3. Machi 2007. Dvs Media. 328.
  10. Shonen Rukia|Shonen Rukia # 39. Volume 4, suala 3. Machi 2006. Dvs Media. 010.
  11. 11.0 11.1 Deb Aoki. "Interview: Tite Kubo (page 3)". About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-27. Iliwekwa mnamo 2008-09-16.
  12. Kai-ming Cha (2008-08-04). "Kubo Comes to Comic-Con". Publishers Weekly. Iliwekwa mnamo 2008-09-17.
  13. Anime Insider (61). Wizard Universe: p. 39. 2008. ISSN 1547-3767. {{cite journal}}: |pages= has extra text (help); Missing or empty |title= (help); Unknown parameter |month= ignored (help)
  14. Deb Aoki. "Interview: Tite Kubo (page 2)". About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-04. Iliwekwa mnamo 2008-09-16.
  15. Rukia Shonen. Volume 6, suala 6. Juni 2008 Dvs Media. 12.
  16. "BLEACHイラスト集 All Colour But The Black" (kwa Japanese). Shueisha. Iliwekwa mnamo 2008-04-27.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  17. "BLEACH OFFICIAL BOOTLEG カラブリ+| 久保 帯人| ジャンプコミックス" (kwa Japanese). Shueisha. Iliwekwa mnamo 2008-04-27.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  18. "BLEACH―ブリーチ― OFFICIAL CHARACTER BOOK SOULs" (kwa Japanese). Shueisha. Iliwekwa mnamo 2008-04-27.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  19. "BLEACH―ブリーチ― OFFICIAL ANIMATION BOOK VIBEs" (kwa Japanese). Shueisha. Iliwekwa mnamo 2008-04-27.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]