Timu ya mpira wa kikapu kwa wanaume ya Chuo Kikuu cha Johannesburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

University of Johannesburg men's basketball Ni timu ya mpira wa Kikapu ya idara ya michezo Chuo Kikuu cha Johannesburg.[1]Wachezaji wengi wa timu hiyo ni wa wasomi wa Afrika Kusini na wamechezea wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu Nchini Afrika Kusini.[2]

Wachezaji mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Kumbuka: Bendera zinazoashilia kustahiki kwa timu ya taifa katika matukio yaliyoidhinishwa na FIBA. Wachezaji wanaweza kushikilia uraia mwingine usio wa FIBA ambao haujaonyeshwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-02-04. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  2. Team South Africa Profile  - 2011 FIBA Africa Championship | FIBA.COM. web.archive.org (2013-09-21). Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-09-21. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.