Timeless
| Timeless | |||||
|---|---|---|---|---|---|
|
|||||
| Studio album ya Martina McBride | |||||
| Imetolewa | 18 Oktoba 2005 | ||||
| Aina | Country | ||||
| Lebo | RCA Nashville | ||||
| Mtayarishaji | Martina McBride | ||||
| Tahakiki za kitaalamu | |||||
| Wendo wa albamu za Martina McBride | |||||
|
|||||
"'Timeless'" ni jina la kutaja albamu ya 2005 ya mwimbaji wa muziki wa miondoko ya Country wa Marekani, Martina McBride.
Albamu hii ni mkusanyiko wa vibao 18 vya miondoko ya classic country. Wasanii maarufu ambao vibao vyao viliangaziwa ni pamoja na include Eddy Arnold, Johnny Cash, Don Gibson, Loretta Lynn, Buck Owens, Ray Price, Hank Snow, Hank Williams, Tammy Wynette na wengine wengi. Albamu hii ilianzia nafasi ya kwanza katika chati ya albamu za Country na #3 katika chati za Billboard 200.
Albamu hii ilikuwa yenye mauzo ya kasi zaidi kwa McBride katka kazi yake na ilimpa mauzo bora zaidi ya mwanzo huku ikiuza nakala 185,000 katika wiki yake ya kwanza. Kufikia Machi 2007, albamu hii ilikuwa na mauzo ya milioni 1.2 nchini Marekani kulingana na Nielsen SoundScan na ikathibitishwa kua katika kiwango cha platinum.
Mpangilio wa Vibao
[hariri | hariri chanzo]Source:[1]
Mwondoko wa ‘’limited edition’’ wa albamu ya Timeless unashirikisha ngoma nne za ziada:
- "Dreaming My Dreams"
- "Crying Time" (Buck Owens}
- "Walk On By" (Kendall Hayes)
- "Take These Chains from My Heart" (Fred Rose, Hy Heath}
Ngoma za Single
[hariri | hariri chanzo]Chati
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]| Chati (2005) | Kilele |
|---|---|
| U.S. Billboard Top Country Albums | 1 |
| U.S. Billboard 200 | 3 |
| Canadian Albums Chart | 41 |
Singles
[hariri | hariri chanzo]| Mwaka | Single | Nafasi katika Chati | ||
|---|---|---|---|---|
| US Country | US | CAN Country | ||
| 2005 | "(I Never Promised You) A Rose Garden" | 18 | 98 | 19 |
| 2006 | "I Still Miss Someone" (akimshirikisha Dolly Parton) | 50 | — | — |
| "You Ain't Woman Enough" | — | — | — | |
Virejeleo
[hariri | hariri chanzo]| Alitanguliwa na Tough All Over ya Gary Allan |
albamu ya Kwanza katika Top Country Albums 5-25 Novemba 2005 |
Akafuatiwa na The Road and the Radio ya Kenny Chesney |
