Tim Godfrey (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tim Godfrey ni mwimbaji wa nyimbo za Kiinjili raia wa Nigeria. [1] [2] Anajulikana zaidi kwa wimbo wake Nara kwa ushirikiano na Travis Greene . [3] Yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa lebo rekodi ya Rox Nation na pia Mwanzilishi wa Xtreme Crew.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Tim Godfrey alifunga ndoa Jumamosi, Aprili 23 2022 na Erica, ambaye alimchumbia siku ya wapendanao.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Alonge, Ayo. "My grass to grace story – Tim Godfrey, gospel musician". Sunnews Online. Iliwekwa mnamo 4 February 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Ibori, Diana. "Tim Godfrey biography". Legit. Iliwekwa mnamo 4 February 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Tim Godfrey Drops “NARA” ft. Travis Greene". gmusicplus (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-04-23. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tim Godfrey (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.