Tibati Nkambule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tibati Madvolomafisha Nkambule (aliyefariki 1895), alikuwa Mfalme Mdogo na Indlovukati wa Uswazi kutoka mwaka wa 1889 hadi 1894 wakati wa ukosefu wa utu uzima wa mjukuu wake mfalme Ngwane V.

Alikuwa ameolewa na Mswati II (aliyefariki 1868), na mama wa mfalme wake Mbandzeni (Dlamini IV) kati ya mwaka wa 1875-1889.

Tibati amekuwa aliitwa mtuimara, mwenye kufuata mila, na mwenye heshima miongoni mwa wenzake.[1] Aliiongoza nchi wakati wa kipindi cha machafuko kabla ya ufalme kuwekwa chini ya utawala wa Jamhuri ya Afrika Kusini mwaka 1894.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Hugh Gillis, The Kingdom of Swaziland: Studies in Political History, 1999, Greenwood Publishing Group, page 82
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tibati Nkambule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.