Thuto Ramafifi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thuto Oaboloka Ramafifi (amezaliwa tarehe 9 Januari mwaka 1992) ni mchezaji wa soka wa Botswana anayecheza kama mshambuliaji.[1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Ramafifi alikuwa akicheza netiboli akiwa mdogo.[2]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Ramafifi alihudhuria Shule ya Upili ya Ledumang nchini Botswana.[3]

Kazi katika ngazi ya Klabu[hariri | hariri chanzo]

Ramafifi amekuwa mfungaji bora wa NCAA Division II akiwa na magoli ishirini na sita.[4]

Kazi katika ngazi ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Ramafifi alicheza katika timu ya taifa ya wanawake ya soka ya Botswana kwa ajili ya kufuzu kwa 2022 Women's Africa Cup of Nations qualification.[5]

Nafasi ya Uchezaji[hariri | hariri chanzo]

Ramafifi kwa kawaida anacheza kama mshambuliaji na ameelezwa kama "akichukua mtindo wake wa kucheza kutoka kwa mwana-ikoni wa Kireno Cristiano Ronaldo.[6]

Kazi ya Ufundi[hariri | hariri chanzo]

Ramfifi alihudhuria kozi ya awali ya ufundi ya FIFA Namibia na kozi ya ufundi ya Premier Skills nchini Botswana.[7]

Maisha ya Kibinafsi[hariri | hariri chanzo]

Ramfifi ni mzaliwa wa Gaborone, Botswana.[8]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thuto Ramafifi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.