Thoughts and prayers
Mandhari
Thoughts and prayers ni maneno yanayotumiwa mara kwa mara hasa nchini Marekani kama rambirambi baada ya matukio ya kutisha, kama vile maafa ya asili au mauaji.[1].
Matumizi ya maneno hayo yamekosolewa hasa yakitumiwa baada ya mauaji wa watu wengi kwa bunduki au ugaidi[2][3][4][5][6]. Wakosoaji huona kwamba "mawazo na maombi" hutolewa kama mbadala wa hatua halisi kama vile kudhibiti uenezaji wa silaha. [7].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-31. Iliwekwa mnamo 2022-08-04.
- ↑ https://www.washingtonpost.com/video/politics/mark-kelly-thoughts-and-prayers-from-politicians-arent-going-to-stop-the-next-shooting/2017/10/02/1c3589a2-a797-11e7-9a98-07140d2eed02_video.html
- ↑ http://thehill.com/homenews/senate/353466-dem-rips-colleagues-for-offering-thoughts-and-prayers-your-cowardice-to-act
- ↑ https://www.washingtonpost.com/news/opinions/wp/2017/10/02/thoughts-and-prayers-again/
- ↑ http://www.slate.com/blogs/browbeat/2017/10/02/bojack_horseman_s_thoughts_and_prayers_episode_skewers_rote_responses_to.html
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-04.
- ↑ http://www.newsweek.com/mandalay-bay-shooting-las-vegas-politicians-thoughts-prayers-675461
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |