Nenda kwa yaliyomo

Thimphu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watoto mbele ya jumba la serikali ya Thimphu

Thimphu (ཐིམ་ཕུ་ ; pia "Thimbu") ni mji mkuu wa Bhutan. Ni pia jina la bonde penye mji na la mkoa wa nchi.

Mji na mazingira yake una wakazi 50,000 ni mji mkubwa nchini. Anwani ya kijiografia ni 27°28′00″N, 89°38′30″E. Thimphu iko katika magharibi ya nchi ndogo kando la mto Wang Chu kwenye kimo cha 2,736 m.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Thimphu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.