Thiago Braz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Braz kwenye Olimpiki ya Majira ya joto ya 2020
Braz kwenye Olimpiki ya Majira ya joto ya 2020

Thiago Braz da Silva (aliyezaliwa 16 Disemba 1993) ni mwanariadha wa Brazil aliyebobea katika kuruka na nguzo ambaye anashikilia rekodi ya Olimpiki ya mita 6.03. Alishinda medali ya dhahabu kwenye Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2016 na medali ya shaba kwenye Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2020.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]