Theodor Hänsch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theodor Hänsch

Theodor Wolfgang Hänsch (amezaliwa 30 Oktoba, 1941) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa amechunguza spektroskopia. Mwaka wa 2005, pamoja na Roy Glauber na John Hall, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodor Hänsch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.