The Watchers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Watchers ni filamu ya kutisha ya kimagharibi inayoandaliwa uko Marekani iliyoandikwa na kuongozwa na Ishana Night Shyamalan, ikitegemea riwaya yenye jina sawa iliyoandikwa na A. M. Shine. Filamu hii ina waigizaji gwiji kama Dakota Fanning, Georgina Campbell, Oliver Finnegan, na Olwen Fouéré.

Filamu hii ilianza kuandaliwa tangu Julai hadi Septemba 2023. Inatarajiwa kutolewa kwenye majumba ya sinema na WarnerBros.Pictures mnamo 14 Juni 2024[1] Awali ilipangwa Juni 7. [2].

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Mina, msanii mwenye umri wa miaka 28, anakwama katika msitu mpana magharibi mwa Ireland. Baada ya kuingia kwenye hifadhi, bila kujua, anajikuta amekwama pamoja na watu watatu wasiojulikana ambao wanachunguzwa na kuwindwa na viumbe vya kutatanisha kila usiku.[2]

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

  • Dakota Fanning kama Mina[3]
  • Georgina Campbell[3]
  • Oliver Finnegan
  • Olwen Fouéré[4]

Utengenezwaji na Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Mwezi Februari 2023, ilitangazwa kwamba New Line Cinema ingezalisha The Watchers, iliyoandikwa na kuelekezwa na Ishana Night Shyamalan katika kazi yake ya kwanza ya uongozi wa filamu. Mwezi Aprili, Dakota Fanning na Georgina Campbell walijiunga kuwa waigizaji wa filamu hiyo.[3][5]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Upigaji picha ulifanyika Dublin, Wicklow na Galway kuanzia Julai hadi Septemba 2023. [6] Katikati ya Julai, uzalishaji ulipewa makubaliano ya muda ya kuendelea kurekodi filamu wakati wa mgomo wa SAG-AFTRA wa 2023 . [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. D'Alessandro, Anthony (February 28, 2024). "'The Watchers': Ishana Night Shyamalan Horror Movie Moves To Father’s Day Weekend". Deadline Hollywood. Iliwekwa mnamo February 29, 2024.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 D'Alessandro, Anthony. "Ishana Night Shyamalan Making Feature Directorial Debut With New Line Thriller 'The Watchers'; Summer 2024 Release Set", Deadline Hollywood, February 14, 2023. 
  3. 3.0 3.1 3.2 Grobar, Matt. "Dakota Fanning Boards Ishana Night Shyamalan's Supernatural Thriller 'The Watchers' For New Line", Deadline Hollywood, April 26, 2023. 
  4. 4.0 4.1 Kay, Jeremy (July 19, 2023). "Sam Raimi horror, The Watchers among new indie shoots approved by SAG-AFTRA". Screen Daily. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo August 10, 2023. Iliwekwa mnamo 2023-08-11.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  5. Kit, Borys. "'Barbarian' Breakout Georgina Campbell Joins Dakota Fanning in New Line Supernatural Thriller 'The Watchers' (Exclusive)", The Hollywood Reporter, April 28, 2023. 
  6. Rajput, Priyanca (September 5, 2023). "Ishana Shyamalan's debut feature The Watchers wraps in Dublin". KFTV.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo September 6, 2023. Iliwekwa mnamo 2023-09-06.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)