Nenda kwa yaliyomo

The Penthouse: War in Life

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Penthouse: War in Life (kwa Kikorea: 펜트하우스; RR: Penteuhauseu) ni safu ya runinga ya Korea Kusini inayoangazia Lee Ji-ah, Kim So-yeon, Eugene, Um Ki-joon, Yoon Jong-hoon, na Park Eun-seok. Ilionyeshwa kwenye SBS TV mnamo Oktoba 26, 2020.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Penthouse: War in Life kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.