The Letter (2019 filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Letter Ni filamu yenye maudhui ya kikenya iliyo rekodiwa mwaka 2019 iliyoongozwa na Maia Lekow and Chris King. Filamu ilichaguliwa kama ingizo la Wakenya kama Filamu Bora Zaidi ya Kimataifa kwenye tuzo za 93rd Academy Awards, lakini haikuteuliwa kushinda tuzo hiyo.[1]

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Kijana mmoja mdogo alimtembelea Bibi yake kijijini ili kujua kama anatuhumiwa na kujihusisha na mambo ya kichawi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Letter (2019 film)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-07-15, iliwekwa mnamo 2022-08-08 
  2. Guy Lodge, Guy Lodge (2019-11-24). "IDFA Film Review: ‘The Letter’". Variety (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-08-08.