Nenda kwa yaliyomo

Thane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Thane
Faili:Flag of Thane.svg
Bendera
Thane is located in Uhindi
Thane
Thane

Mahali pa mji wa Thane katika Uhindi

Majiranukta: 19°10′00″N 72°57′00″E / 19.16667°N 72.95000°E / 19.16667; 72.95000
Nchi Uhindi
Jimbo Maharashtra
Wilaya Thane
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,261,517
Tovuti:  http://www.thane.nic.in/

Thane ni mji wa Uhindi katika jimbo la Maharashtra. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 147 km².


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Thane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.