Nenda kwa yaliyomo

Thabo Sithole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thubelihle Thabo Sithole (alizaliwa tarehe 10 juni 1995) ni mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Afrika kusini[1] kwenye klabu Cape Town Tigers pia na timu ya taifa nchini humo.

Maisha ya zamani

[hariri | hariri chanzo]

Amezaliwa KwaZulu-Natal, Sithole alisoma katika shule ya upili Durban na alianza kucheza mpira wa kikapu kwa umakini akiwa na miaka 8.[2]

Majukumu katika timu ya taifa

[hariri | hariri chanzo]

Sithole amechezea timu ya taifa. Alicheza katika mashindano ya AfroBasket mwaka 2017. Apo kabla alicheza timu ya taifa chini ya miaka 16.[3]

  1. "Thubelihle Thabo SITHOLE at the FIBA Afrobasket 2017". FIBA.basketball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  2. Manyehlisa Lehohla (2021-10-20). "Sithole feels Tigers have the right tools for BAL mission". The Big Tip Off (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  3. "African Basketball News, Scores, Stats, Analysis, Standings". www.afrobasket.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.