Teresina
Mandhari

Teresina | |
Majiranukta: 5°05′20″S 42°48′07″W / 5.08889°S 42.80194°W | |
Nchi | Brazil |
---|---|
Kanda | Northeast |
Jimbo | Piauí |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 802,537 |
Tovuti: www.teresina.pi.gov.br |
Teresina ni jina la mji mkuu wa jimbo la Piauí katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 800,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 72 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kireno) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 22 Februari 2011 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Teresina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |