Nenda kwa yaliyomo

Teresa wa Cartagena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Teresa de Cartegena

Teresa de Cartagena (1425 - 1478)[1] alikuwa mwandishi, mtawa na mwanafalsafa wa kidini katika kipindi cha mwisho cha zama za kati huko Kastilia. [2]Cartagena ni mwandishi wa kwanza wa kike katika lugha ya Kihispania na mwanafalsafa wa kidini aliyepoteza uwezo wa kusikia kati ya mwaka 1453 na 1459.

  1. Scarborough, Connie L. (2018-07-03). "Irrefutable arguments: Teresa de Cartagena defends her right to authorship". Romance Quarterly. 65 (3): 124–134. doi:10.1080/08831157.2018.1492848. ISSN 0883-1157. S2CID 166207675.
  2. "Teresa de Cartagena | Gallaudet University Library Guide to Deaf Biographies and Index to Deaf Periodicals". liblists.wrlc.org. Iliwekwa mnamo 2019-12-09.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teresa wa Cartagena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.