Teresa Teng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teresa Teng, gona Li-Chun au Deng Lijun (29 Januari 1953 - 8 Mei 1995) alikuwa mwimbaji wa Taiwan.

Alijulikana kwa nyimbo zake za kiasili na ballads za kimapenzi, si tu katika lugha ya Mandarin ya ulikotokea, lakini pia katika Taiwan Hokkien, Cantonese, Kijapani, Kiindonesia na Kiingereza.

Mgonjwa wa pumu, alikufa mwaka 1995 kutokana na mashambulizi makali ya upumuaji wakati wa likizo katika Thailand. Alikuwa na umri wa miaka 42.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teresa Teng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.