Terconazole
| Jina la (IUPAC) | |
|---|---|
| 1-[4-[ [(2S,4S)-2-(2,4-Dichlorophenyl)-2-(1,2,4-triazol-1-ylmethyl)-1,3-dioxolan-4-yl]methoxy]phenyl]-4-propan-2-yl-piperazine | |
| Data ya kikliniki | |
| Majina ya kibiashara | Terazol |
| AHFS/Drugs.com | Monograph |
| MedlinePlus | a688022 |
| Kategoria ya ujauzito | ? |
| Hali ya kisheria | ? |
| Data ya utendakazi | |
| Kufunga kwa protini | 94.9% |
| Vitambulisho | |
| Nambari ya ATC | ? |
| Data ya kikemikali | |
| Fomyula | C26H31Cl2N5O3 |
| |
| | |
Terconazole, inayouzwa kwa jina la chapa Terazol miongoni mwa zingine, ni dawa inayotumika kutibu maambukizi ya kuvu ukeni,[1] na ni matibabu ya mstari wa kwanza kwa matumizi haya.[1] Dawa hii inatumika ndani ya uke kama losheni au tembe ya kuweka ukeni.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuwasha, maumivu ya tumbo na hedhi chungu.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha athari za mzio.[1] Usalama wa matumizi yake katika ujauzito hauko wazi.[2] Dawa hii inafanya kazi kwa kuvuruga utando wa seli ya kuvu fulani.[1] Ina wigo mpana wa shughuli za kitiba.[1]
Terconazole iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1987[1] na inapatikana kama dawa ya kawaida.[3] Nchini Marekani, bomba moja linagharimu takriban dola 20 za Kimarekani.[3]
Marejeleo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 3 4 5 6 7 8 "Terconazole Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 29 Septemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>tag; name "AHFS2021" defined multiple times with different content. - ↑ "Terconazole topical Use During Pregnancy". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 29 Septemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 "Terconazole Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 29 Septemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)