Tequixquiac

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa la St.James katika mji wa Tequixquiac


Tequixquiac
Nchi Mexiko
Jimbo México
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 31,080
Tovuti:  www.tequixquiac.gob.mx

Tequixquiac ndiyo mji mkubwa katika jimbo la México. Mji ulianzishwa na Francisco Tlazintlaleh mwaka 1554. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 31,080 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2.340 juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 8,34 km².

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tequixquiac kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.