Teni
Mandhari

Teniola Apata (anajulikana pia kama Teni; amezaliwa tarehe 23 Disemba 1993) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mburudishaji kutoka nchini Nigeria.
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Teni alizaliwa mnamo tarehe 23 Desemba 1993 katika Jimbo la Lagos. Pia ni dada mdogo wa mwimbaji wa Nigeria Niniola.[1][2]
Alisoma katika shule ya Apata Memorial High School kisha baadaye katika chuo cha University of Georgia, lakini alimalizia masomo yake katika chuo cha American InterContinental University ambapo alipata shahada ya usimamizi wa biashara.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kochhar, Nazuk (18 Oktoba 2018). "Teni rules, here's the proof". The FADER. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "My love for Niniola stronger than music –Teni Entertainer". Punch Newspapers (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Septemba 2018. Iliwekwa mnamo 23 Septemba 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Olatunbosun, Yinka (26 Oktoba 2018). "Teni Makanaki's Strides to Stardom". This Day. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Machunga, Saminu (4 Agosti 2018). "SPOTLIGHT: My late father will be proud that his legacy is untarnished, says Teni". The Cable. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Teni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |